Wapwani si wavivu, Shahbal asema

Na VALENTINE OBARA MWANASIASA Suleiman Shahbal, anayepanga kuwania ugavana Mombasa 2022 ametaka Wapwani wapewe nafasi za kujiendeleza...

Nassir na Shahbal walilia ‘tosha’ ya Raila uagavana Mombasa

VALENTINE OBARA na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, alikwepa kumwidhinisha mwanasiasa yeyote kuwania ugavana...

Raila akanyagia ‘tosha’ ya urithi wa Joho

VALENTINE OBARA na ANTHONY KITIMO KIONGOZI wa Chama cha ODM, Bw Raila Odinga, alijiepusha kumwidhinisha mwanasiasa yeyote anayepanga...

Mishi Mboko amshauri Shahbal awe mtiifu kwa ODM

Na BRIAN OCHARO MBUNGE wa Likoni, Bi Mishi Mboko amemshauri mfanyabiashara wa Mombasa, Bw Suleiman Shahbal awe tayari kutii itikadi za...

Suleiman Shahbal aahidi kuwatatulia wafanyabiashara kero katika bustani ya Mama Ngina

Na FARHIYA HUSSEIN WAFANYABIASHARA waliozuiwa kuendesha biashara zao katika bustani ya Mama Ngina sasa wana matumaini baada ya...