Tedros kuongoza WHO kwa miaka mingine mitano

Tedros kuongoza WHO kwa miaka mingine mitano

NA MASHIRIKA

GENEVA, USWISI

KATIBU Mkuu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus (pichani) , amechaguliwa tena kuongoza shirika hilo kwa muhula wa pili wa miaka mitano.

Tedros hakuwa na mpinzani na alipata kura 155 kati ya 160 zilizopigwa.

“Ninashukuru wahudumu wa afya na wafanyakazi wenzetu wa WHO kote duniani. Tutaendelea kushirikiana katika kuboresha huduma za afya,” akasema.

  • Tags

You can share this post!

Musalia, Wetang’ula wamtetea Didmus

Kinyago yalipua Blue Boy huku Sharp Boys ikiangusha Young...

T L