Habari Mseto

Tumesitisha mikutona magharibi, wasema Weta na Mudavadi

August 1st, 2020 1 min read

 ERIC MATARA na FAUSTINE NGILA

Kiongozi wa chama cha ANC Musalia Mudavadi na mwezake wa chama cha Ford Kenya Moses Wetangula wamesema  wamesimamisha mikutano ya kisiasa eneo la Magharibi mwa Kenya.

Viongozi hao pia waliwaomba viongozi wengine wasitishe mikutano ya kisiasa huku Kenya ikipambana na janga la virusi vya corona virusi vya corona.

“Bilas haka nchi ya Kenya ina matatizo huku ugonjwa wa corona ukiendelea kusambaa na watu wanao fariki kuendelea kuongezeka kwa hio tuliamua kusitisha program zetu ambazo zinahusu mikutano ya Magharibi mwa Kenya,”ulisoma ujumbe uliotolewa na viomngozi hao Alhamisi.

The politicians were flanked by other leaders during a press briefing organised by the Western Union Solidarity Movement at the Musalia Mudavadi Centre in Nairobi.-

“Kuna umuhimu wa viongozi kusitisha mikutano yeyote ili tumsaindie Rais katika vita dhidi ya virusi vya corona,”ulisoma ujumbe huo.