Tutakupa kazi, Wetangula aambia Uhuru

Tutakupa kazi, Wetangula aambia Uhuru

NA BRIAN OJAMAA

KIONGOZI wa chama cha Ford Kenya, Bw Moses Wetangula amemhakikishia Rais anayeondoka Uhuru Kenyatta kuwa, serikali ya Kenya Kwanza itahakikisha amepata kazi na majukumu ya kimataifa baada ya kukamilisha muhula wake.

Alikuwa akihutubia waombolezaji Ijumaa katika eneobunge la Kanduyi.

You can share this post!

Rigathi Gachagua sasa ataka Uhuru avunje kimya chake

Chebukati motoni kuahirisha kura katika kaunti mbili

T L