Kimataifa

Uchu wa kushiriki ngono na mbwa wamuua

July 3rd, 2019 1 min read

MASHIRIKA na PETER MBURU

SAN FRANSISCO, MAREKANI

MWANAMUME wa miaka 56 aliaga dunia katika hospitali moja San Fransisco, baada ya kuugua ugonjwa wa Rabies ambao huambukizwa na mbwa, aliposhiriki ngono na mbwa koko.

Bernard John Fellman ambaye hakuwa na makao alikuwa amekamatwa na polisi wiki iliyopita na akshtakiwa kwa kufanya tabia mbaya mbele ya umma, baada ya kushiriki ngono na mbwa huyo katika mbuga ya umma ya San Fransisco.

Polisi walitumwa eneo hilo baada ya watu kadhaa kulalamika kuhusu vitendo vya aibu vya mwanamume huyo.

“Mshukiwa alidaiwa kuingiza uume wa mbwa huyo mdomoni mwake na akaanza kushiriki ngono yam domo naye katika mahali pa umma,” mkuu wa polisi San Fransisco William Scott akasema.

Kushiriki ngono na wanyama si hatia katika jimbo la California lakini Fellman alikamatwa kwa kuwa alifanya hivyo mbele ya umma na karibu na shule na akiwa nusu uchi.

Walioshuhudia walisema kuwa mwanamume huyo aidha alionekana kama alikuwa amejipaka mafuta ya nazi katika nyeti zake, kumvutia mbwa huyo.

“Hakuwa na suruali na mbwa alikuwa akimlamba nyeti kisha akashika uume wa mnyama huyo na kuutia mdomoni mwake,” mmoja wa walioshuhudia akasema.

Msemaji wa polisi San Fransisco alisema mbwa huyo alimwambukiza ugonjwa Fellman, na kuwa alithibitishwa kufa alipofika hospitalini, akishauri wakazi kujizuia kushiriki ngono na wanyama wasio wa kufugwa.

Marehemu mbeleni alisemekana kuwahi kukamatwa na polisi mara kadha kwa kwenda haja ndogo na kubwa mbele ya umma.