Uhalalishaji wa GMO wazua mjadala mkali

Uhalalishaji wa GMO wazua mjadala mkali

NA STANLEY KAMUGE

UAMUZI wa baraza la mawaziri kuruhusu uzalishaji na uagizwaji nchini wa vyakula vilivyokuzwa kisayansi (GMOs) umezua mtafaruku mkali na tumbo joto miongoni mwa wakulima na watafiti.

Baadhi ya wanasayansi waliupongeza uamuzi huo wakisema ni utaimarisha uzalishaji wa vyakula nchini ili kukimu mahitaji ya wengi wanaokumbwa na uhaba wa vyakula.

Lakini wakulima wengi wameukejeli wakisema utaathiri wananchi kiafya.

Prof Douglas Miano, ambaye ni Mhadhiri katika chuo kikuu cha Nairobi (UoN) na mtafiti mkuu katika masuala ya ukuzaji wa zao la muhogo kisayansi, alisema uamuzi huu wa baraza la mawaziri umewafurahisha wanasayansi na watafiti.

  • Tags

You can share this post!

Inter Milan yadidimiza matumaini ya Barcelona kutinga hatua...

Bayern Munich waponda Viktoria Plzen nchini Ujerumani na...

T L