Lugha, Fasihi na Elimu

NiE yawamulika mabingwa wa sanaa

Wendy Jelimo wa shule ya Kianda, aongoza timu ya densi ya Miavuli kushinda nafasi ya kwanza katika Tamasha la 97 la Kitaifa la muziki. Atarajiwa kutumbuiza Ubalozi wa Uchina.