Vinara wakuu Azimio washutumu Kenya Kwanza kwa kulipiza kisasi

Vinara wakuu Azimio washutumu Kenya Kwanza kwa kulipiza kisasi

VIONGOZI wa Muungano wa Azimio One Kenya wamelaumu serikali ya Kenya Kwanza kwa kuendeleza kisasi dhidi ya viongozi na maafisa wa serikali ambao wametofautiana na sera zake.

Wakizungumza baada ya mkutano mjini Naivasha, viongozi hao Raila Odinga, Kalonzo Musyoka na Martha Karua walisema watapinga hatua zozote za serikali za kuua demokrasia na zinazokiuka katiba.

Walimtaka mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) na makamishna Abdi Guliye na Boya Molu kustaafu.

  • Tags

You can share this post!

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Uholanzi na Ecuador nguvu sawa...

KOMBE LA DUNIA FIFA 2022: Qatar yadenguliwa baada ya...

T L