Waandishi wahimizwa kutumia data wanaporipoti habari

Na LAWRENCE ONGARO KUHIFADHI data za maswala muhimu kunahitajika ili kupata ukweli halisi wa jinsi mambo yalivyo. Maafisa wa serikali kadha; kutoka Kaunti ya Nairobi, Kiambu, na Kajiado, walihudhuria kikao cha kujadili hali za wanawake kwenye kongamano la National Data-Driven Advocacy for Gender Equality lililoandaliwa katika mkahawa wa Maanzoni Lodge, Kaunti ya Machakos. Mkurugenzi wa … Continue reading Waandishi wahimizwa kutumia data wanaporipoti habari