Wakazi walalama kuhusu ongezeko la noti feki za elfu

Wakazi walalama kuhusu ongezeko la noti feki za elfu

NA STANLEY NGOTHO

MALALAMISHI yamezuka katika miji ya Kaunti ya Kajiado kuhusu kuongezeka kwa noti feki za Sh1,000.

Watu laghai wanaotumia noti feki wamekuwa wakilenga wakazi wa miji ya Kitengela, Kajiado na Ilbisil wasiokuwa na habari.

Wafanyabiashara wa kiwango kidogo, wafugaji na wahudumu wa maduka ya M-Pesa wamelengwa na laghai hao wanaosambaza noti hizo feki.

Iliripotiwa kuwa mwanamke na mwanamume wanaovalia nadhifu wanahusishwa na usambazaji wa noti hizo katika kile kinachoonekana kama sakata kubwa ya pesa .

  • Tags

You can share this post!

Magavana watafutia wachumba wao mlo

TUSIJE TUKASAHAU: Maoni ya umma kuhusu GMOs yanafaa...

T L