Wakongwe kwa vijana wajitokeza kupiga kura Kwale

Wakongwe kwa vijana wajitokeza kupiga kura Kwale

NA SIAGO CECE

BIBI mkongwe Kasirimi Mwangome, 102, amekuwa miongoni mwa wapigakura waliojitokeza kutekeleza haki yao ya kidemokrasia.

Alisaidiwa na vitukuu wake kuelekea kupiga kura katika kituo cha Mariakani Roman, wadi ya Mwavumbo, eneobunge la Kinango, Kwale.

Familia yake ilisema nyanya huyo alisema ni lazima apige kura.

  • Tags

You can share this post!

Mbunge wa Mavoko asikitika mahakama kuzima CDF

Korir kutetea taji la New York Marathon mnamo Novemba 6

T L