Habari Mseto

Waliomuua yaya kupandishwa kizimbani

October 20th, 2020 1 min read

NA MARY WAMBUI

Wanaume watatu ambao wanasemekana kumuua kijakazi na kumbaka msichana wa miaka 12 walipovunja na kuingia nyumba moja mtaa wa Ruiru Membeley Ijumaa iliyopita watafikishwa kortini Jumatano.

Levy Abubakar, Zablon Kariuki Maungu na  David Abungana walikamatwa na maafisa wa DCI Jumatatu usiku baada ya kutoroka kwa siku mbili.

Maungu, 43, na  Abungana, 40, walifanya kazi ya ujenzi kwenye eneo ilioko karibu na mahala walifanya kitendo hicho kumaanisha walikuwa na habazi zaisdi kuhusu nyumba hio.

Walikuwa wanajua kwamba mwenye nyumba hiyo hurudui jioni hapo ndipo waliingia nyumbani humo kutafuta pesa huku kijakazi na msichana huyo wakiangalia kjwa woga kwa saa tatu.Monica nduta  n msichana huyo waliwangilia kwa woga .

Video ya CCTV ilionyesha Abubakar akitafuta pesa.

TAFSIRI NA FAUSTINE NGILA