Habari Mseto

Wanafunzi kutoka Sudan wapimwa

July 2nd, 2020 1 min read

NA FAUSTINE NGILA

Wanafunzi waliofika Mombasa kutoka Sudan wamethibitishwa kuwa hawana virusi vya Corona maafisa, walisema Alhamisi.

Afisa mkuu mtendaji wa afya Mombasa Khadija Shikely alisema kwamba kikundi hicho ni kati ya wanafunzi 129 waliorudishwa nyumbani wiki iliopotipa.

Wanafunzi hao walifika kwenye uwanja wa ndege wa Moi Jumamosi jioni.

Walikuwa wapimwe kwanza  kabla la kuelekea kwenye kituo cha karantini cha Kizingarea.