Wanawake waitaka jamii kuhakikisha visiki dhidi yao vinaondolewa

Na LAWRENCE ONGARO KUNA haja ya wanawake kupata nafasi katika maswala mengi ya kijamii, imejadiliwa kwenye kongamano moja Maanzoni Lodge, Machakos. Mkurugenzi wa shirika la Groots Kenya Bi Fridah Githuka alisema Alhamisi kwamba kwa muda mrefu wanawake hawajapata haki yao katika maswala mengi ya uongozi. Alisema shirika hilo linahamashisha wanawake kote nchini kuhusu haki zao. … Continue reading Wanawake waitaka jamii kuhakikisha visiki dhidi yao vinaondolewa