Habari

Wapigambizi wanane, wataalamu kutoka India washirikiana jitihada za uopoaji miili

October 7th, 2019 1 min read

Na MISHI GONGO

WAPIGAMBIZI wanane, pamoja na wataalamu wa kutoka kikosi cha wanamaji wa India wanashirikiana katika juhudi za kusaka na kuopoa miili ya mwanamke na mwanawe waliozama gari lao lilipoanguka kutoka kwa feri, kivuko cha Likoni na kutumbukia kwenye Bahari Hindi Jumapili, Septemba 29, 2019.

Wapigambizi hao wanajumuisha watano kutoka Afrika Kusini waliokodishwa na familia ya waliotumbukia majini na watatu ambao serikali ya Kenya imesaka huduma zao.

Mkaso huo imevutia hisia za huzuni kutoka kwa watu katika pembe zote za dunia, huku kukiwa na manung’uniko kwamba vitengo vya uokozi vilichelewa mno kuokoa  Bi Mariam Kighenda na mwanawe Amanda Mutheu.

 

Tunaandaa habari kamili…