Habari Mseto

Watu 8 wauawa kwenye mlipuko Somalia

August 16th, 2020 1 min read

AGGREY MUTAMBO NA FAUSTINE NGILA

WATU wasiopungua wanane walifariki na wengine kujehuriwa mwenye mlipuko uliotokea kwenye hoteli ya Elite Mogadishu mashambiulizi yanayo kisiwa kuwa yalitekelezwa na wanamganbo wa Alshabab Jumapili.

Nduru za kuaminika zililiambia Taifa Leo kwamba watu nane walifariki huku watu 30 wakijehuriwa tukio lilofuatiwa na risasi.

Shambulizi hilo ililenga Waiziri wa elimu wa Somalia Goden Barren na maafisa wengine wa serikali.

Bw Barre alihepa bila kujehuriwa. Kati ya waliofariki ni Abdirazak Abdullahi Abdi,mkurungezi wa wizara ya habari.

Mmiliki wa hoteli hio anayejulikana kama Abdullahi Mohamed Nur aliokolewa.

Maafisa wa usalama wa Somali walishungulikia jambo hilo.Risasi ziliendelea kusikika zikipingwa lakini haikujulikana kwamba wanamgambo hao walikuwa bado wanashambulia.

Duru za kuamimika ziliambia Taifa Leo kwamba shambulizi hio ilishuudiwa wakati wabunge na maafisa wa serikali walikuwa wanakuwa namkutano .

Mbunge wa zamani Bsahir Adow na mshauri wa waziri mkuu wa Somalia Hundubey Omar Dhegeya aliyehepa bila kuumizwa.