Wavamizi waua polisi, wateka Wachina 5 kambini

Wavamizi waua polisi, wateka Wachina 5 kambini

Na AFP

WATU waliojihami vikali Jumapili walimuua afisa wa polisi na kuwateka nyara raia watano wa China, waliokuwa wakifanya kazi katika mgodi mmoja wa dhahabu katika Jamhuri ya Demokrasia ya Kongo.

Jeshi lilisema kisa hicho kilifanyika katika eneo la mashariki, linalokumbwa na mapigano.Msemaji wa Jeshi katika eneo hilo, Meja Dieudonne Kasereka, alisema kisa hicho kilifanyika mwendo wa saa nane usiku.

You can share this post!

Vuta nikuvute FKF kuvuruga soka nchini

TAHARIRI: Suluhu ya haraka itafutwe kuhusu marufuku ya...

T L