Wazazi kubeba mzigo shule zikifunguliwa kuanzia kesho Jumatatu

Wazazi kubeba mzigo shule zikifunguliwa kuanzia kesho Jumatatu

Mitihani ya KCPE na KCSE itafanyika mnamo Novemba huku walimu nao wakitakiwa wajizatiti ili kuona wamemaliza silabasi kwa wakati.

Kinyume na mihula iliyopita, mara hii wanafunzi hawatakuwa na mapumziko ya katikati ya muhula.

Serikali ya Rais William Ruto nayo imetangaza kuwa itaunda jopo kupokea maoni ya Wakenya kuhusu ufaafu wa mfumo wa CBC.

  • Tags

You can share this post!

Mahakama yasita kutimua kampuni ya Joho bandarini

Kipchoge aifuta rekodi ya dunia ya kilomita 42 kwa nusu...

T L