Wazazi wapinga likizo ya katikati ya muhula

Wazazi wapinga likizo ya katikati ya muhula

NA STEPHEN ODUOR

WAZAZI katika Kaunti ya Tana River, wametoa wito kwa Wizara ya Elimu kufutilia mbali likizo fupi za mihula.

Wakiongozwa na Bi Jane Simon, wazazi hao wamelalamika kuwa ni gharama kubwa kupeleka watoto shuleni hivi majuzi kisha wanarudi nyumbani baada ya muda mfupi.

Kulingana nao, watoto walikuwa na likizo ndefu ya miezi miwili kwa hivyo si busara kuwapa tena likizo fupi katikati ya muhula.

  • Tags

You can share this post!

Korti yaamua kesi ya kuzuia Sonko iendelee hadi mwisho

Wauzaji walalama kwa kukosa biashara kongamano la Kisumu

T L