Habari Mseto

Waziri Murkomen, Kositany wanusurika katika ajali ya ndege

March 9th, 2024 1 min read

NA MWANDISHI WETU

HELIKOPTA iliyombeba Waziri wa Uchukuzi Kipchumba Murkomen na mwenyekiti wa Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Nchini (KAA) Caleb Kositany imeanguka ikitaka kupaa wakitoka Baringo kuenda kuhudhuria mazishi ya mamake Mkurugenzi Mtendaji wa KAA.

Hakuna majeruhi.

Afisi ya waziri Murkomen imethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.