Michelle Kenda 22, ni mwanamitindo wa Kaunti ya Nakuru. Uraibu wake ni kuandika makala ya kufanyia utafiti. Picha/Richard Maosi