Boda atupwa nje kwa kutafuna muguka huku ibada ikiendelea

Na CHARLES ONGADI MAJAONI, MOMBASA BODABODA mmoja wa hapa alifurushwa kutoka kanisani kwa kutafuna muguka mahubiri...

Ghulamu mtukutu apiganisha wazazi

Na NICHOLAS CHERUIYOT MOGOIYWET, Narok GHULAMU mtukutu kutoka eneo hili aliwagonganisha wazazi wake kwa kutoroka kutoka shule ya...

Arudi na zawadi alipokosa mlo harusini

Na LEAH MAKENA KEROKA, Kisii MAMA wa hapa alishangaza wengi alipokataa kupeana zawadi kwa maharusi na kurejea nayo nyumbani kwake kwa...

Polo ajifanya sonko kumbe kijijini ni hoi

YALA, Siaya Na JOHN MUTUKU SAMUEL KALAMENI eneo hili alibubujikwa na machozi na kujitupa miguuni mwa demu kumuomba asimteme lakini...

Polo akarabatia jirani kitanda kisilie

Na MWANDISHI WETU Kangemi, Nairobi  Jombi mtaani hapa ambaye ni seremala tajika aliamua kukarabati kitanda cha jirani yake bila...

Atumia kahaba kuzima polo msumbufu

Na JOHN MUSYOKI MATUU, MACHAKOS KIOJA kilishuhudiwa katika ploti moja mtaani hapa, jamaa alipopiga nduru baada ya mama aliyetarajia...

Mke asukumia mume mhanyaji kipusa

Na MWANDISHI WETU KIEMBENI, MOMBASA KALAMENI wa hapa alijipata kwenye njia panda baada ya mkewe aliyemuoa takribani miaka mitano...

Ujanja wa kahaba wazimwa na mganga

Na JOHN MUTUKU SAMUEL DEMU aliyesifika mtaani hapa kwa ujanja wake wa kuwatapeli wanaume maelfu ya pesa baada ya kula uroda nao,...

Waumini wafokea pasta dikteta

Na TOBBIE WEKESA UGWERI, RUNYENJES WAUMINI wa kanisa moja lililoko hapa walitishia kumtimua pasta wao wakidai alikuwa...

Buda aliyefumaniwa alipa Sh0.5m

Na MWANDISHI WETU KAGIO, KIRINYAGA BUDA eneo hili alilazimika kulipa mwanamume mwenzake nusu milioni jamaa zake wakishuhudia baada ya...

Wazee wadai ‘kitu kidogo’ kwa mganga

Na TOBBIE WEKESA MSAKASA, Bungoma KIZAAZAA kilizuka eneo hili baada ya wazee kumlazimisha mganga kuwagawia sehemu ya faida...

Kioja mama akiuza shamba aponde raha

Na JOHN MUSYOKI KIVAA, MASINGA WAKAZI walishuhudia sinema ya bwerere mwanamke mmoja alipoamuru nyumba ya mwanawe ibomolewe ili auze...