KIJANA maarufu zaidi wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni…. Naam, hujakosea, huyo hasa. Usimwite mzee, anajiona kijana wa jana. Tofauti?...
UMEWAHI kutazama runinga, ukamuona mtu wa kwenu kijijini, ukatamani kumuuliza ‘ulipotelea wapi? Mbona hututembelei nyumbani’? Juzi...
PENDEKEZO la baadhi ya wanasiasa wa ODM kuwa kinara wao Raila Odinga awanie urais mnamo 2027 ni hadaa tu ili wamtumie kupata nyadhifa...
HIVI majuzi nimemuudhi mtu nilipomwambia kuwa Tanzania ya sasa ni Kenya ya miaka ya themanini. Alikereka ajabu kwa kuwa yeye ni...
WAKENYA si watu wazuri. Ngoja niseme sahihi zaidi: Wakenya ni waja wanoko waliojaa maudhi. Na katika maudhi yao, wakati mwingine...
IKIWA umeshtuliwa na hatua ya Israeli kumuua kiongozi mkuu wa kisiasa wa kundi la Hamas, Ismail Haniyeh, basi jua kwamba huelewi kwamba...
NIRUHUSU nitanue kifua kidogo: Kwa Jumamosi mbili zilizopita, nimetabiri mambo kwenye ukurasa huu na hatimaye yakatokea. Usiniulize...
KINARA wa Azimio la Umoja Raila Odinga amejipata katika njiapanda kati ya kuunga mkono vuguvugu la vijana, almaarufu Gen-Z na Rais William...
KWA muda mrefu sasa, kiongozi wa Wiper Kalonzo Musyoka amekuwa akichukuliwa kama mwanasiasa asiyekuwa na msimamo thabiti, hali ambayo...
KATIKA mazingira ya siasa kali ambapo watu wanatishiana, haidhuru nikijaribisha uungwana, nijitie udarai wa kumshauri kiongozi wa nchi...
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...
While scavenging the deep ends of a derelict space station,...