NA RICHARD MUNGUTI ADHABU ya kifo iliyopitishwa dhidi ya afisa wa polisi aliyewaua kinyama wakili Willie Kimani, mteja Josephat Mwenda na...
NA CHARLES WASONGA WANAHABARI wanaoripoti habari za bunge wamepinga kauli za baadhi ya wabunge kwamba wazuiwe kuingia bunge wakisema...
NA JOSEPH WANGUI ALIYEKUWA afisa wa polisi Fredrick Leliman amehukumiwa kifo kwa kuua wakili Willie Kimani na watu wengine...
ALEX NDEGWA NA ROSELYNE OBALA AFISA wa polisi wa ngazi za juu aliyekuwa akiongoza walinzi wa Rais (Mstaafu) Uhuru Kenyatta ameondolewa...
NA FARHIYA HUSSEIN MASENETA kutoka kaunti zinazokumbwa na ukame, wamekosoa mikakati inayoendelezwa na serikali kukabiliana na hali hiyo...
WYCLIFFE NYABERI NA RUTH MBULA WALIMU sita walionaswa kwenye video wakiwalazimisha watoto wadogo wavulana kufanya maigizo ya ngono...
NA SAMMY KIMATU BENKI ya Equity imekamilisha ununuzi wa baadhi ya mali na madeni ya benki ya Spire. Hii ni baada ya kupokea idhini ya...
NA MARY WANGARI POLISI sasa huenda wakaanza kuvalia sare zao za zamani tena iwapo Jopokazi Maalum linaloshughulikia mageuzi katika idara...
NA LEONARD ONYANGO WASHIRIKI wa dhehebu la Yesu wa Tongaren wanaamini kuwa, nyumbani kwa kiongozi wao ni Jerusalem. Jerusalem kuna...
NA LEONARD ONYANGO KIJIJI cha Lukhokwe, eneobunge la Tongaren, Kaunti ya Bungoma, huenda kikawa cha kwanza nchini na pengine kote...
NA DERICK LUVEGA WATAALAMU wa kike wa Kiislamu wanawazia kubuni sheria itakayowezesha wanafunzi kuvaa hijab shuleni. Hii ni baada ya...
NA CHARLES WASONGA SPIKA wa Bunge la Kitaifa Moses Wetang’ula amewahimiza wabunge waharakishe utayarishaji wa sheria itakayoiweka...