BAHARI YA MAPENZI: Ukatili wa kijinsia ni suala la kimamlaka

HIVI karibuni nilipita kwenye soko moja maarufu mjini Mombasa na katika shughuli zangu nilikutana na msichana ambaye alionekana ana ulemavu...

MALEZI KIDIJITALI: Je, kuwapa watoto uhuru ni kuwaharibu?

Na BENSON MATHEKA KASUNI na mkewe Ivy wamelaumiwa na wazazi wenzao kwa kuwapa watoto wao wawili uhuru wa kufanya watakalo. Baadhi...

MAPISHI KIKWETU: Miguu ya kuku chakula kitamu sana

Na PAULINE ONGAJI KWA kawaida watu wengi wanapomchinja kuku, miguu yake haijumuishwi kwenye mapishi huku wengi wakiichukulia kuwa...

HUKU USWAHILINI: Wema kupitiliza utapikiwa majungu

Na SIZARINA HAMISI HUKU Uswahilini, wengi wetu tunaishi nyumba za kupanga. Kwamba katika nyumba moja tumeshazoea kuishi familia zaidi...

MWANAMUME KAMILI: Maisha mazuri ni gharama, hamna vya dezo na bwerere

Na DKT CHARLES OBENE USIMAMIZI mbovu haujaanza vyuoni. Asili ya usimamizi duni umechipuka nyumbani na kwenye ofisi za umma...

UMBEA: Kama kweli mnapendana, hakuna kosa lisilosameheka

Na SIZARINA HAMISI NINGEPENDA nitoe angalizo, kwamba kabla hujaruka na kulaumu kwamba leo natetea wale wenye tabia za kulamba mizinga ya...

FUNGUKA: ‘Hapa ni mahaba niue!!!’

Na PAULINE ONGAJI MARA nyingi katika uhusiano, mwanamke ndiye hutarajiwa kupokea kila wakati. Hata awe anafanya kazi, wakati mwingi...

UMBEA: Penzi lina ladha ya kipekee, utamu, uchachu, uchungu na hata ukakasi kidogo

Na SIZARINA HAMISI MAISHA ni kitendawili wakati mwingine. Kwani unaweza kukutana na mtu anatembea barabarani lakini akili na mawazo...