Nancy Wahu ni mwanamitindo. Anapenda kusafiri, kuoka mikate, kusikiliza muziki na kutazama filamu. BONFACE BOGITA | TAIFA
Mercy Wangechi, 23, anatupambia safu yetu. Anapenda kusikiliza muziki, kushiriki mitindo na fasheni na kukwea milima. Francis Nderitu|TAIFA
Mgeni wetu ni Julia Maureen, 22. Anasomea kozi ya Utalii katika shule moja mjini Nakuru. Yeye hupenda kusafiri na kutazama filamu. BONIFACE...
Aliye na bahati kutupambia ukarasa wetu leo ni Irene Rotiken, 24, ambaye ni daktari wa upasuaji mjini Nakuru. Uraibu wake ni kuchora....
Harriet Njeri Njehia ni mkazi wa Pokot Magharibi. Yeye ni mfanyabiashara wa mapambo na bidhaa za urembo. Anapenda mapambo na fasheni. Ndoto...
Susan Kyalo anapenda fasheni, masuala ya uanamitindo, kusafiri, kupika, kusoma na kuandika mashairi.
Sky Kakwe, 26, kutoka Kitui ni mtengenezaji maudhui. Uraibu wake ni kusoma riwaya, kuchora, kuogelea, kuandika, kusafiri na kupika.
Aliye bahatika kuwa mgeni wetu leo ni Bi Kuria Muthoni kutoka mji wa Nakuru, na amabye amesomea kuwa dereva wa mashine za kutengeneza...
Monica Masila ana umri wa miaka 21. Anapenda kusoma, kujifunza mambo mapya, kuogelea, na kutazama vipindi. Picha|Billy Ogada
[caption id="attachment_151540" align="alignnone" width="1360"] FAITH NGAAMBA ana uraibu wa kuonyesha mitindo, kukutana na marafiki wapya,...
Soulmates Eric and Shelly are brutally murdered when the...
When tech billionaire Slater King meets cocktail waitress...
While scavenging the deep ends of a derelict space station,...