Mwisho wa maandamano ni Jumatatu – Gachagua

NA CHARLES WASONGA NAIBU Rais Rigathi Gachagua ameonya kuwa Jumatatu, Aprili 3, 2023 ndio itakuwa siku ya mwisho kwa muungano wa Azimio...

Diwani afariki baada ya vurugu kuzuka mkutanoni

NA SHABAN MAKOKHA DIWANI (MCA) wa Kisa Mashariki  Stephen Maloba amefariki dunia baada ya wahuni kumvamia na kumdunga kwenye farakano...

Masuala Manne Makuu: Raila asimama kidete

JUSTUS OCHIENG Na ROSELYNE OBALA KIONGOZI wa upinzani, Bw Raila Odinga alisimama kidete na kusisitiza wanayotaka yatekelezwe na serikali...

Raila akaa ngumu, ampuuza Kindiki

NA CECIL ODONGO KINARA wa Azimio la Umoja-One Kenaya, Bw Raila Odinga haonekani kulegeza kamba katika maasi yake dhidi ya serikali licha...

Raila aongeza kasi ya maandamano jijini

NA MWANDISHI WETU KIONGOZI wa Azimio La Umoja-One Kenya amesema ni muhimu Katiba ifanyiwe marekebisho ili mbunge anayenunuliwa aende...

Anne Nderitu akataa vyama vinavyofanana na ODM

NA CHARLES WASONGA MSAJILI wa Vyama vya Kisiasa Anne Nderitu amekataa ombi kutoka kwa Mkenya mmoja ambaye alitaka afisi yake ihifadhi...

Ruto ampa Raila nguvu

WANDERI KAMAU Na CECIL ODONGO RAIS William Ruto anaendelea kumpa nguvu kiongozi wa Azimio Raila Odinga, kwa kuongezea raia gharama ya...

ODM yapinga kusajiliwa vyama vya majina yanayokikaribia

NA CHARLES WASONGA CHAMA cha Orange Democratic Movement (ODM) kimepinga mpango wa KENYA mmoja kutaka kusajili vyama vipya vyenye majina...

Gachagua, Raila wakaa ngumu

JAMES MURIMI Na JUSTUS WANGA NAIBU wa Rais Rigathi Gachagua na kinara wa Azimio Raila Odinga mnamo Alhamisi walishikilia misimamo yao...

Nitamshinda Raila 2027 – Ruto

NA WYCLIFFE NYABERI  RAIS William Ruto amemtaka kinara wa ODM Raila Odinga asitishe maandamano na badala yake ampe nafasi awatimizie...

Shinikizo kwa Ruto, Raila wazungumze

CHARLES WASONGA Na JESSE CHENGE WITO wa kumtaka Rais William Ruto kufanya mazungumzo na Upinzani umeshika kasi siku moja baada ya kinara...

Maandamano ya Azimio sasa kufanyika kila Jumatatu na Alhamisi

NA CHARLES WASONGA KIONGOZI  wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga sasa ametangaza kuwa maandamano yatakuwa yakifanyika jijini...