Njaa yawakosesha wanafunzi 1,603 umakinifu Mbeere

Na GEORGE MUNENE ZAIDI ya wanafunzi 1,603 katika eneo pana la Mbeere, Kaunti ya Embu wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji...

Suala la ardhi latumiwa kama chombo kumega kura za Pwani

Na PHILIP MUYANGA Ni donda ndugu ambalo kila wakati wa siasa unapofika kama ilivyo sasa kinatoneshwa na wale wanaojitakia nyadhifya...

Mimba za mapema zapungua

Na MAUREEN ONGALA WASICHANA wengi walio chini ya umri wa miaka 20 katika Kaunti ya Kilifi wameanza kutumia mbinu za kupanga...

Sh20m kutumiwa kukarabati jengo la makavazi

NA KALUME KAZUNGU MAKAVAZI ya Kitaifa nchini (NMK) kwa ushirikiano na Ubalozi wa nchi ya Oman, imeanzisha ukarabati na uboreshaji wa...

Aliyetekwa arudi nyumbani baada ya miezi mitano

NA KALUME KAZUNGU Mwanamume wa miaka 39, Taimur Kariuki Hussein, ambaye alitoweka katika hali tatanishi karibu miezi mitano iliyopita...

Samaki waoza kwa ukosefu wa jokofu la hifadhi

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika Kaunti ya Lamu, wamelalamikia ukosefu wa vyombo vya kuhifadhi samaki wakisema imewaletea hasara...

Wakazi wa Kajiado walalamikia kukwama kwa ujenzi wa maktaba, uga

Na STANLEY NGOTHO WAKAZI wa mji wa Kajiado wamelalamikia kuwa kukwama kwa ujenzi wa maktaba ya umma ya Sh119 milioni na uga wa Ngong...

Viongozi, wazee watofautiana kuhusu Raila

Na OSCAR KAKAI MGOGORO unatokota kati ya kundi la viongozi wa jamii ya Wapokot na Baraza la Wazee wa jamii ya Pokot ambao wamejitokeza...

Boga aachia ODM kibarua Msambweni

Na SIAGO CECE MWENYEKITI wa Shirika la Kustawisha Miundomsingi ya Maji Pwani, Bw Omar Boga, ametangaza hatawania kiti chochote cha...

Makali ya janga la ukame yawasukuma baadhi ya wanaume kutupa familia

Na KALUME KAZUNGU WANAWAKE katika baadhi ya vijiji vya Kaunti ya Lamu, wamelalamikia jinsi waume wao walivyotoroka na kuacha familia zao...

Raia mwingine wa kigeni apatikana amefariki ndani ya meli Mombasa

Na ANTHONY KITIMO MAAFISA mnamo Jumanne waliondoa mwili wa mwanamume aliyefariki ndani ya meli iliyotia nanga katika bandari ya Mombasa,...

Jamii yalalamika kutatizwa na operesheni ya usalama Boni

Na KALUME KAZUNGU WAKAZI wanaopakana na msitu wa Boni katika Kaunti ya Lamu, wamelalamikia mahangaiko ambayo wamepitia miaka sita tangu...