Njaa yawakosesha wanafunzi 1,603 umakinifu Mbeere

Na GEORGE MUNENE ZAIDI ya wanafunzi 1,603 katika eneo pana la Mbeere, Kaunti ya Embu wanakabiliwa na baa la njaa na wanahitaji...

Suala la ardhi latumiwa kama chombo kumega kura za Pwani

Na PHILIP MUYANGA Ni donda ndugu ambalo kila wakati wa siasa unapofika kama ilivyo sasa kinatoneshwa na wale wanaojitakia nyadhifya...

Gavana ataka uchaguzi uahirishwe

Na ALEX NJERU GAVANA WA THARAKA NITHI Muthomi Njuki ametoa wito kwa serikali kuu kutenga pesa za kutosha kupambana na janga la njaa na...

Mimba za mapema zapungua

Na MAUREEN ONGALA WASICHANA wengi walio chini ya umri wa miaka 20 katika Kaunti ya Kilifi wameanza kutumia mbinu za kupanga...

Sh20m kutumiwa kukarabati jengo la makavazi

NA KALUME KAZUNGU MAKAVAZI ya Kitaifa nchini (NMK) kwa ushirikiano na Ubalozi wa nchi ya Oman, imeanzisha ukarabati na uboreshaji wa...

Aliyetekwa arudi nyumbani baada ya miezi mitano

NA KALUME KAZUNGU Mwanamume wa miaka 39, Taimur Kariuki Hussein, ambaye alitoweka katika hali tatanishi karibu miezi mitano iliyopita...

Mwendwa kushtakiwa jumaa tatu

Na RICHARD MUNGUTI RAIS wa Shirikisho la Kandanda Nchini (FKF) Nick Mwendwa aliyekamatwa Ijumaa atashtakiwa Jumatatu kwa ubadhirifu wa...

Mahakama yakataa kuzima utoaji wa chanjo ya Covid-19 ya lazma kwa wakenya

Na RICHARD MUNGUTI SERIKALI Ijumaa ilipata afueni mahakama ilipokataa kufutilia mbali agizo kila mwananchi awe amepata chanjo ya...

Sonko azimwa kurusha video za Kananu

Na RICHARD MUNGUTI ALIYEKUWA Gavana wa Nairobi Mike Sonko Mbuvi Ijumaa alizimwa na mahakama kupeperusha katika mitandao ya kijamii video...

Ruto asusia Kongamano la Ugatuzi

Na WAANDISHI WETU NAIBU RAIS William Ruto jana alisusia Kongamano la Saba la Ugatuzi lililoandaliwa katika Kaunti ya Makueni licha ya...

Samaki waoza kwa ukosefu wa jokofu la hifadhi

Na KALUME KAZUNGU WAVUVI katika Kaunti ya Lamu, wamelalamikia ukosefu wa vyombo vya kuhifadhi samaki wakisema imewaletea hasara...

Cotu yamtaka Matiang’i asikize kilio cha polisi

Na ELIZABETH OJINA Katibu Mkuu wa COTU, Francis Atwoli (pichani) amemtaka Waziri wa Usalama wa Ndani Dkt Fred Matiang'i kushughulikia...