Na MASHIRIKA KOCHA Gareth Southgate amejumuisha fowadi Jarrod Bowen wa West Ham United kwa mara ya kwanza katika kikosi chake cha...
Na MASHIRIKA KIUNGO Danny Drinkwater atakayebanduka rasmi kambini mwa Chelsea mnamo Juni 2022, amewaomba mashabiki wa kikosi hicho msamaha...
Na JOHN KIMWERE KIKOSI cha Maafande wa Rift Valley Prisons ni kati ya timu zinazoshiriki voliboli ya kuwania taji la Ligi Kuu ya wanaume...
Na GEOFFREY ANENE NYOTA Ferdinand Omanyala alionja kichapo chake cha kwanza mwaka 2022 katika mbio za mita 100 nchini Ujerumani,...
Na MASHIRIKA ASTON Villa wamefikia maamuzi ya kumsajili beki matata raia wa Brazil, Diego Carlos, kutoka Sevilla kwa kima cha Sh4...
NA MASHIRIKA TIRANA, Albania JOSE Mourinho hakuweza kujizuia kububujikwa na machozi ya furaha baada ya kutwaa medali ya Europa...
Na GEOFFREY ANENE CF Montreal anayochezea Victor Wanyama imeweka hai matumaini ya kuingia Klabu Bingwa Amerika Kaskazini, Kati na...
Na MASHIRIKA FOWADI matata wa Liverpool, Mohamed Salah, 29, amesema ana uhakika wa asilimia 100 kuwa atasalia kambini mwa kikosi hicho...
Na MASHIRIKA BORUSSIA Dortmund wamemteua Edin Terzic kuwa mkufunzi wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu hadi 2025. Kocha huyo mwenye...
Na MASHIRIKA AS Roma walinyanyua taji lao la kwanza katika soka ya bara Ulaya kwa kutandika Feyenoord ya Uholanzi 1-0 katika fainali ya...
Na GEOFFREY ANENE BEKI wa KAA Gent nchini Ubelgiji, Joseph Stanley Okumu amesherehekea kufikisha umri wa miaka 25 mnamo Mei 26...
NA MASHIRIKA LIVERPOOL wamemsajili fowadi chipukizi Fabio Carvalho kutoka Fulham kwa mkataba wa miaka mitano uliogharimu Sh1.2...