JAMVI: Bado sijaanza kampeni za 2022 – Ruto

Na CHARLES WASONGA WIKI hii, Naibu Rais William Ruto alionyesha undumakuwili kisiasa, wazi wazi pasi na kupepesa jicho. Dkt Ruto...

JAMVI: Safari ya OKA, MKF imejaa visiki vingi

Na CHARLES WASONGA SIKU chache baada ya vinara wa muungano wa One Kenya Alliance (OKA) kukutana na viongozi jopo la Mt Kenya Forum (MKF)...

JAMVI: Ruto anasa ‘samaki’ mkubwa Gavana Mvurya akiingia Hasla

Na SIAGO CECE KAMPENI za Naibu Rais William Ruto maeneo ya Pwani zimeanza kuzaa matunda baada ya kupata uungwaji mkono kutoka kwa...

JAMVI: Roho ya Uhuru iko kwa OKA au Raila?

Na CHARLES WASONGA HUKU ikisalia miezi tisa pekee kabla ya Wakenya kwenda debeni kumchagua rais mpya, mrengo ambao Rais Uhuru Kenyatta...

Majibizano hatari kwa Ruto Mlimani

Na WANDERI KAMAU MAJIBIZANO makali kati ya Naibu Rais William Ruto na baadhi ya wanasiasa katika ukanda wa Mlima Kenya, yanatishia...

Kananu kaangukia minofu kweli

Na BENSON MATHEKA GAVANA wa Nairobi Ann Kananu Mwenda anaweza kufananishwa na mtu aliyeangukia kiti hicho kwa kuwa ndiye gavana wa pekee...

Hofu kuu ya Ruto ni kuibiwa kura 2022

NA BENSON MATHEKA Kila dalili zinaonyesha kuwa Naibu Rais William Ruto anahofia kwamba ataibiwa kura kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao....

JAMVI: ANC yatisha kujiondoa OKA ikiwa haitakuwa imeteua mgombeaji urais kufikia Desemba 25, 2021

Na CHARLES WASONGA WANDANI wa kiongozi wa Amani National Congress (ANC) wametisha kuwa chama hicho kitajiondoa kutoka muungano wa One...

Yanayomsubiri Ruto akifurushwa Jubilee

Na CHARLES WASONGA HISIA mseto zimeibuliwa kuhusu iwapo Naibu Rais Dkt William Ruto ataendelea kushikilia wadhifa huo endapo atapokonywa...

Mwamko mpya wanawake Pwani wakilenga ugavana

Na PHILIP MUYANGA KUONGEZEKA kwa idadi ya wanawake katika kinyang’anyiro cha ugavana eneo la Pwani kunaonyesha mabadiliko makubwa ya...

Wapinzani wa Ruto hawatambomoa mashinani kirahisi

Na BENSON MATHEKA WAPINZANI wa Naibu Rais William Ruto kwenye uchaguzi mkuu wa 2022 wana kibarua kingumu kubomoa mtandao aliojenga kote...

Vyama vidogo kumeza wale watakaobwagwa katika kura za mchujo

Na LEONARD ONYANGO IDADI kubwa ya wanasiasa watakaoshindwa katika kura za mchujo za vyama mbalimbali vya kisiasa, watakosa fursa ya...