SHINA LA UHAI: Saratani ya mapafu: Gharama ya matibabu pigo kuu

Na PAULINE ONGAJI ILIMCHUKUA Dickson Munala, 67, mkazi wa kijiji cha Maraka, eneo la Webuye, Kaunti ya Bungoma, miaka miwili baada ya...

SHINA LA UHAI: Kansa ya matiti: Wanaume msiipuze!

Na PAULINE ONGAJI ALIPOGUNDUA kwamba alikuwa na maradhi ya kansa ya matiti mwaka wa 2010, David Thuo Mwanyura, 61, kutoka eneo la...

PATA USHAURI WA DKT FLO: Gesi tele tumboni huletwa na nini?

Mpendwa Daktari, Nimekuwa nikikumbwa na tatizo la gesi nyingi tumboni na kuteuka kila wakati. Hili ni tatizo lipi la...

TAHARIRI: Ipo shida wauguzi kutofahamu lugha

Na MHARIRI UFICHUZI wa Waziri wa Afya Mutahi Kagwe kwamba wauguzi 290 walifeli Kiingereza na kukisa nafasi ya kuajiriwa Uingereza,...

Kebs na Inable wazindua kanuni za kuwafaa walemavu kidijitali

Na WANGU KANURI WAKENYA wanaoishi na ulemavu pamoja na wale  wakongwe sasa wataweza kupokea huduma wanazotaka kidijitali za mawasiliano...

Kenya yakusudia kuchanja raia 5m kufikia Desemba

Na LEONARD ONYANGO SERIKALI inalenga kutoa chanjo ya corona kwa watu milioni tano kati ya sasa na Desemba, mwaka huu, huku kaunti za...

Maji ya Ziwa Victoria yasababisha kansa, watahadharisha wataalamu

Na LEONARD ONYANGO WATAALAMU sasa wanaonya kuwa watu wanaoishi karibu na Ziwa Victoria wako katika hatari kubwa ya kupatwa na maradhi ya...

Maradhi ya Trakoma yanapofusha maelfu maeneo kame

Na LEONARD ONYANGO VISA vya watu walio na matatizo ya macho vinaongezeka kwa kasi humu nchini kutokana na sababu mbalimbali. Lakini...

Dawa mpya yathibitishwa kuwa na uwezo wa kupunguza makali ya HIV

Na LEONARD ONYANGO WAATHIRIWA wa HIV huenda wakapunguziwa usumbufu wa kumeza tembe za kupunguza makali ya virusi hivyo (ARVs) kila siku...

DKT FLO: Mbinu asili za kuzuia kisukari ni salama?

Na DKT FLO Mpendwa Daktari,Jamaa yangu mmoja anaugua kisukari na amechoka kutumia dawa za kisasa. Hivi majuzi alifichua kwamba...

Jamii mbioni kulinda afya ya mama na mtoto

NA PAULINE ONGAJI  Inakaribia adhuhuri siku hii ya Jumatatu, Agosti, 30, 2021. Joyce Nkalo, kutoka eneo la Embolei, Kaunti ya Kajiado,...

KWA KIFUPI: Utakufa mapema ukihifadhi mlo kwenye vifaa vya plastiki – Utafiti

Na LEONARD ONYANGO KEMIKALI za plastiki zinazotumika kutengeneza vyombo vya kuhifadhi vyakula, vipodozi na vifaa vya watoto kuchezea...