KAULI YA WALLAH BIN WALLAH: Ukikataa kubadilika ujue kuwa mabadiliko ambayo yanatokea maishani ndiyo yatakubadilisha

NA WALLAH BIN WALLAH USIPIGANE wala kupingana na mabadiliko maishani! Mabadiliko ni sehemu ya maisha duniani. Kila kitu...

GWIJI WA WIKI: Annette Odusi

NA CHRIS ADUNGO MATAMANIO ya Annette Odusi tangu utotoni yalikuwa kuwa mwimbaji maarufu wa nyimbo za mtindo wa kufokafoka. Kipaji cha...

TALANTA: Gwiji wa zumari

NA PATRICK KILAVUKA ALIONESHA kwamba uwezo wa kutumia mikono waweza kuwa wa heri katika kutimiza ndoto alipoibuka bora katika mashindano...

MWALIMU WA WIKI: Makau ni mwalimu stadi na mwandishi

NA CHRIS ADUNGO AKIJIVUNIA tajriba ya zaidi ya miaka 20 katika taaluma ya ualimu, Bw Silvester Lunyiro Makau anakiri kuwa mtaala wa...

NGUVU ZA HOJA: Chuo Kikuu cha Baraton ni mfano wa kuigwa na asasi za elimu ya juu

NA PROF CLARA MOMANYI KATIKA makala yangu ya tarehe 1/9/2022 niliweka bayana umuhimu wa Tume ya Mackay katika kusimika matumizi ya...

TALANTA: Wanasarakasi ibuka

NA RICHARD MAOSI MCHEZO wa sarakasi na kwata ya watoto unatambulika tangu zamani kutokana na ufaafu wake katika kuupa mwili nguvu kwani...

VYAMA: Chama cha Kiswahili shule ya upili ya wavulana ya Siakago, Kaunti ya Embu

NA CHRIS ADUNGO CHAMA cha Kiswahili katika shule ya upili ya St Albert The Great Siakago Boys kinadhamiria kuboresha matumizi ya...

USHAURI NASAHA: Tusiwanyime wana wetu fursa kujiunga na vyuo vya kadri

NA HENRY MOKUA MWENYEZI Mungu katika kugawa karama zake hajaacha pengo popote. Amehakikisha kwamba yupo wa kutenda kila...

NDIVYO SIVYO: ‘Dhuru’ na ‘athiri’ ni dhana mbili tofauti

NA ENOCK NYARIKI MAUMBO ya Kiingereza ya maneno ‘athari’ na ‘dhuru’ yanakaribiana mno. Tutaifafanua hoja hii zaidi baadaye ila...

GWIJI WA WIKI: Suleiman Fadhili

NA CHRIS ADUNGO TOFAUTI na zamani ambapo uigizaji ulitumiwa sana kwa ajili ya burudani pekee, sanaa hiyo kwa sasa ni kazi ya kitaaluma...

MWALIMU WA WIKI: Mwangi ni mkuu si tu kwa maneno

NA CHRIS ADUNGO MWALIMU bora hufanya utafiti wa kina katika somo lake na pia kusoma kazi zisizohusiana moja kwa moja na taaluma yake....

NGUVU ZA HOJA: Hili swali ni gumu na vilevile rahisi, Je hii lugha ya Kiswahili inalipa?

NA PROF IRIBE MWANGI MWANAFUNZI wangu wa uzamivu katika chuo Kikuu cha Nairobi kwa jina Nicholus Makanji aliniuliza swali. Swali...