Na AFP KAMPALA, Uganda MWANAWE Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhoozi Kainerugaba, ametangaza kuwa nchi yake itatuma wanajeshi kulinda...
NA MASHIRIKA ROMA, ITALIA KIONGOZI wa kanisa katoliki Ulimwenguni, Papa Francis alilazwa hospitalini mnamo Jumatano kutokana na...
Na PAULINE ONGAJI akiwa BERLIN, UJERUMANI RAIS William Ruto ametangaza kwamba mipango ya kutekeleza sheria za leseni za kudhibiti...
NA MASHIRIKA TUNIS, TUNISIA WAHAMIAJI 19 kutoka mataifa kadhaa ya Afrika Jumamosi walifariki katika Pwani ya Tunisia, baada ya mashua...
NA MASHIRIKA SAYARI tano zitaonekana kwa tukio la kipekee mnamo Jumanne jioni ambapo zitakuwa zimejipanga kwa safu ya kuvutia. Sayari za...
NA MASHIRIKA VATICAN CITY, VATICAN VIONGOZI wa Kanisa Katoliki sasa watawajibikia wenyewe makosa ya dhuluma za kingono yatakayofanyika...
NA MASHIRIKA PARIS, UFARANSA UFARANSA ndilo taifa la hivi punde kupiga marufuku TikTok kwenye simu za watumishi wa umma. Maafisa...
NA MASHIRIKA NAIROBI, KENYA NCHI tano duniani zinapanga kukabili maandamano ambayo yameitishwa na viongozi wa upinzani. Nchi hizo...
NA MASHIRIKA THE HAGUE, UHOLANZI MAHAKAMA ya Kimataifa kuhusu Uhalifu (ICC) imetoa agizo la kukamatwa kwa Rais wa Urusi Vladimir Putin...
NA AFP BLANTYRE, Malawi IDADI ya watu waliokufa kutokana na kimbunga Freddy nchini Malawi imeongezeka hadi 326, Rais wa nchi hiyo Lazarus...
NA MASHIRIKA ABUJA, NIGERIA MAELFU ya wafuasi wa upinzani nchini Nigeria wanaandamana kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais. Maelfu...
NA PAULINE ONGAJI pongaji@ke.nationmedia.com KIGALI, RWANDA BARA la Afrika linakumbwa na hatari ya kukabiliwa na janga la maradhi...