ZARAA: Matomoko ni yenye thamani kubwa kwake

NA SAMMY WAWERU KIJIJI cha Nyati, Kamahuha, Murang’a ni chenye shughuli tele, ukuzaji wa maparachichi, maembe na ndizi ukishika...

MITAMBO: Mtambo faafu kwa wakulima wadogo kumudu gharama

NA RICHARD MAOSI MTAMBO mdogo wa kusaga mazao hutumiwa na wakulima wenye kipato cha kadri au chini, ambao kwa siku nyingi wamekuwa...

UJASIRIAMALI: Sanaa ya kuchonga glasi inavyowajenga

NA MARGARET MAINA AKIWA kijana, David Karitha alikuwa akimtazama mjomba wake akitengeneza vitu vya asili vya kupendeza kutoka kwa...

MITAMBO: Kifaa cha kunasa wadudu waharibifu wa matunda mitini

NA RICHARD MAOSI WANASAYANSI wamekuwa wakijikuna vichwa, wengi wao wakitaka hatua ya dharura kuchukuliwa ili kukabiliana na wadudu...

ZARAA: Nafaka mpya zatoa jibu la kudorora kwa mazao

NA SAMMY WAWERU HUKU Muungano wa Umoja wa Kimataifa (UN) ukijiandaa kufanya kongamano la COP27 makala ya 27 kuhusu tabianchi mwaka huu,...

BIASHARA: Gharama ya juu yazima raha ya kilimo cha maua

NA SAMMY WAWERU KENYA imejiunga na orodha ya nchi ambazo husafirisha maua ng’ambo kupitia meli za mizigo. Hatua hiyo inayofasiriwa...

MITAMBO: ‘Modular cow barn’ inavyobadili kabisa ufugaji wa ng’ombe

NA RICHARD MAOSI TEKNOLOJIA ya Modular cow barn ni mfumo wa kuwafaidi wakulima wa ng'ombe wa maziwa kwa kuzingatia hatua zote za ukuaji...

KIDIJITALI: Apu ya UjuziKilimo inavyokinga wakulima dhidi ya kero ya mabroka

NA CHARLES WASONGA KUNYANYASWA na wafanyabiashara wa kati, al maarufu, mabroka, na ukosefu wa maafisa wa kilimo nyanjani ni miongoni mwa...

UJASIRIAMALI: Mashine ndogo zafika kupiga jeki uzalishaji

NA BENSON MATHEKA NI wazi kuwa ukosefu wa mashine za kilimo ni kizingiti kwa ukuaji wa sekta hiyo nchini Kenya na bara la Afrika kwa...

ZARAA: Ushawazia mahindi ya zambarau? Mdau anasisitiza yanalipa

NA PETER CHANGTOEK WAKULIMA katika maeneo mengi nchini, hupenda kuzalisha mahindi yaliyo na rangi nyeupe kwa ajili ya kupata lishe na...

MITAMBO: Hii ‘honey press’ itakukamulia asali unavyotaka

NA RICHARD MAOSI ZOEZI la kukamua asali kutoka kwenye masega yaani honey combs huchukua sehemu muhimu katika shughuli nzima ya kilimo...

UJASIRIAMALI: Kilimo Msitu kinavyohifadhi mazingira na kuwaletea riziki

NA LABAAN SHABAAN JULIUS Waweru, mtaalamu wa kilimo, ni mkulima wa miche ya miti eneo la Kenol, Kaunti ya Murang’a na huuza miche 20,...