Monday, August 24th, 2020
BI TAIFA AGOSTI 23, 2020
Gladys Muthoni ni mwanafunzi wa uanahabari kutoka Chuo Kikuu Cha Chuka, amefikisha miaka 25. Uraibu wake ni kuogelea na kusakata densi. Picha/Richard Maosi