BI TAIFA OKTOBA 25, 2020

Waridi Zuena mwenye miaka 21, ni mwanafunzi katika Chuo Kikuu cha Moi Bewa kuu. Uraibu wake ni kutangamana na marafiki , kuimba na kutazama filamu. Picha/Richard Maosi