• Nairobi
  • Last Updated December 2nd, 2023 1:45 PM

Mbunge adai vijana wa kiume Kisauni wanasaidiwa lakini hawaoni

Na WINNIE ATIENO MBUNGE wa Kisauni Ali Mbogo amewalaumu vijana, hasa wa kiume, katika Kaunti ya Mombasa kwa kususia miradi ya maendeleo...

UHALIFU KISAUNI: Wanafunzi wa TUM wamlilia Mutyambai awaokoe

Na STEVE MOKAYA MTAA wa Kisauni, Mombasa huibua kumbukumbu za utovu wa usalama na uoga kila unapotajwa. Hili ni eneo ambalo limepata...

KURUNZI YA PWANI: Nitazima genge linalohangaisha wakazi Kisauni – Boinnet

NA MOHAMED AHMED GENGE jipya lililozuka katika eneo la Kisauni na kuua watu 10 ndani ya wiki mbili limeanza kuwanyima maafisa wa usalama...

JAMVI: Mwaka wa kwanza bungeni ulivyomfifisha Jicho Pevu

Na VALENTINE OBARA DAU la kisiasa la Mbunge wa Nyali, Bw Mohammed Ali, linazidi kuyumbishwa na mawimbi makali, mwaka mmoja pekee baada...

MAKALA MAALUM: Faini waliyopigwa Wamijikenda waliochepuka kwa ndoa ilivyogeuka kitega uchumi

Na CHARLES ONGADI NDOA ni makubaliano rasmi ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke kulingana na sheria, mila au desturi...

Majambazi wanawake ‘Wakware Babies’ waibuka kuwahangaisha wakazi Kisauni

Na MOHAMED AHMED GENGE jipya linalohusisha wanawake limeibuka katika eneo la Bombolulu, Kisauni jijini Mombasa. Genge hilo...