Man-United kutamatisha mkataba wa Ronaldo kisheria ili aondoke Old Trafford bila ndururu!

NA MASHIRIKA MANCHESTER United wamefichua mpango wa kutumia njia mbalimbali za kisheria katika juhudi za kutamatisha mkataba wa nyota...

UDAKU: CR7 amfunga Georgina hat-trick safi ya mapenzi

Na CHRIS ADUNGO SUPASTAA wa Manchester United, Cristiano Ronaldo, na mchumba wake Georgina Rodriguez sasa wanatarajia watoto pacha...

Ronaldo acheka na nyavu na kusaidia Juventus kurejelea Serie A kwa kishindo

Na CHRIS ADUNGO CRISTIANO Ronaldo alifunga bao na kusaidia Juventus kurejelea kampeni za Ligi Kuu ya Italia (Serie A) kwa ushindi wa 2-0...

Serie A kurejelewa rasmi Juni 13

Na CHRIS ADUNGO KIPUTE cha Ligi Kuu ya Italia (Serie A) sasa kitarejelewa Juni 13, 2020 iwapo serikali itaidhinisha maamuzi ya vinara wa...

Ronaldo na nduguze wanunulia mama yao zawadi ya benzi nyeusi

Na CHRIS ADUNGO DOLORES Aveiro alishindwa kuzuia furaha yake baada ya kupokezwa zawadi ya gari kutoka kwa mwanawe Cristiano Ronaldo na...

UDAKU: Nioe nikujazie dunia, kichuna amlilia Ronaldo

Na CHRIS ADUNGO KIPUSA Georgina Rodriguez, 25, amesema yuko tayari kumzalia Cristiano Ronaldo watoto watatu zaidi iwapo atatimiza...

Nisingekuwa sogora bila Messi – Ronaldo

Na MASHIRIKA LIBSON, Ureno GUNGE Cristiano Ronaldo alikiri Jumatano kuwa uhasama wa muda mrefu na Lionel Messi umemfanya kuwa...

Jeraha la Ronaldo pigo kwa Juventus

Na MASHIRIKA PARIS, UFARANSA HUENDA staa Cristiano Ronaldo wa klabu ya Juventus akakosa mechi mbili muhimu kutokana na jeraha alilopata...

MASAIBU: Staa mashakani kwa kukejeli kocha

Na MASHIRIKA PARIS, Ufaransa MCHEZAJI nyota, Cristiano Ronaldo wa Juventus ameshtakiwa na UEFA kwa kushangilia visivyo ushindi wa klabu...

NIPO KWA KAZI HII: Magoli ya CR7 yanusuru Juventus

Na MASHIRIKA TURIN, Italia KABLA ya Juventus kuibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Atletico Madrid, staa Cristiano Ronaldo aliripotiwa...