ANENE: NEMA imesahau kazi yake barabara ya Juja, Nairobi

Na GEOFFREY ANENE WA KULAUMIWA barabara ya Juja Road kugeuzwa kuwa jaa la taka ni nani? Kwa kiwango kikubwa wafanyabiashara katika...