MWANASIASA NGANGARI: Waziri, mbunge machachari aliyekuwa mtetezi wa Moi

Na KEYB ‘MWENYEKITI’, jina ambalo Elijah Wasike Mwangale alifahamika na wengi, lilibuniwa na Rais Daniel arap Moi alipokuwa Makamu...

MWANASIASA NGANGARI: Nabwera: Uanadiplomasia ulimzuia kutofautisha kazi ya Kanu na ya Serikali

Na KENYA YEARBOOK BOARD YAMKINI Burudi Nabwera alikuwa mmoja wa wanasiasa nchini waliopata kisomo cha kiwango cha juu katika vyuo vya...

MWANASIASA NGANGARI: Waziri aliyezindua huduma ya simu za mkono nchini

Na KENYA YEARBOOK BOARD CHRIS Mogere Obure alikuwa mmoja wa mawaziri waliohudumu kwa muda mrefu tangu 1984 alipoteuliwa kwa mara ya...

MWANASIASA NGANGARI: Mwanadiplomasia nguli aliyeuawa kinyama 1990

Na KEYB ROBERT John Ouko ambaye zamani alihudumu kama Mbunge wa Kisumu Mjini, atakumbukwa kama Waziri wa Mashauri ya Kigeni nchini...

MWANASIASA NGANGARI: Amukowa Anangwe, waziri msomi ambaye aliboresha sekta ya afya

Na KEYB FREDERICK Dickson Amukowa Anangwe alijiunga na siasa wakati kampeni za kushinikiza siasa za vyama vingi zilikuwa zimeshika kasi...

MWANASIASA NGANGARI: Magugu, mwandani wa Moi aliyeilainisha Wizara ya Afya

Na KEYB ARTHUR Kinyanjui Magugu alipoingia siasa akiwa na umri wa miaka 35, aliwashangaza wengi kwa kumshinda aliyekuwa Mbunge wa...

MWANASIASA NGANGARI: John Koech, waziri aliyemshinda Moi akili, akifutwa anateuliwa tena

Na KEYB SIKU moja baada ya hafla ya mahafali katika Chuo Kikuu cha Egerton kilichoko eneo la Njoro, waziri John Koech, alinyemelea...

MWANASIASA NGANGARI: Mzee Moi: Mlezi wa vigogo wa kisiasa nchini Kenya

Na KEYB ALIPOKUWA akichunga mifugo wa familia katika kijiji cha Kurieng’wo, Sacho, Kaunti ya Baringo, hakuna aliyedhani kuwa siku moja...

MWANASIASA NGANGARI: Alibahatika kuwahudumia Mzee Kenyatta na Rais mstaafu Moi

Na KEYB NDIYE mwanamke wa kipekee ambaye aliwahi kuhudumia Rais wa kwanza nchini Hayati Mzee Jomo Kenyatta kama Katibu wake wa Masuala...

MWANASIASA NGANGARI: Waziri aliyekuwa na uaminifu wa kipekee kwa Jomo

Na KEYB MATHEWS Joseph Ogutu alikuwa Waziri wa Utalii na Wanyamapori katika baraza la mawaziri la mwisho la Rais Jomo Kenyatta. Ogutu...

MWANASIASA NGANGARI: Wakili aliyetetea kundi la Maumau bila ya malipo

Na KEYB ALIKUWA shujaa halisi wa harakati za kupigania uhuru wa taifa la Kenya. Kujitolea kwake, ukakamavu na ujasiri wake ni...

MWANASIASA NGANGARI: Uhasama wa Jomo, Jaramogi ulifanya Okero awike kisiasa

Na KEYB MAISHA ya kisiasa ya Isaac Edwin Omolo Okero aliyekuwa waziri na mbunge wa Gem wilayani Siaya, kati ya 1969 na 1979, yalikuwa ya...