Video
Polisi warushia vitoa machozi waandamanaji wanaolalamikia mauaji ya wanawake na wasichana
Polisi warusha vitoa machozi kuzima maandamano ya kupinga mauaji ya wanawake, yaliyoandaliwa kukamilisha Siku 16 za Hamasisho kuhusu Dhuluma za Kijinsia, jijini Nairobi, Desemba 10, 2024. Watu kadhaa wakiwemo wanahabari walijeruhiwa.