Video

Polisi warushia vitoa machozi waandamanaji wanaolalamikia mauaji ya wanawake na wasichana

Na NDUBI MOTURI December 10th, 2024 Kusoma ni dakika: 1

Polisi warusha vitoa machozi kuzima maandamano ya kupinga mauaji ya wanawake, yaliyoandaliwa kukamilisha Siku 16 za Hamasisho kuhusu Dhuluma za Kijinsia, jijini Nairobi, Desemba 10, 2024. Watu kadhaa wakiwemo wanahabari walijeruhiwa.