KIKOLEZO: Sema ku-beat!

NA SINDA MATIKO MACHI 2022, mwigizaji Bruce Willis alitangaza kustaafu uigizaji kutokana na maradhi ya aphasia yaliyomfanya kutoweza...

DOMO: Inasikitisha Omosh kashuka levo hizi!

NA MWANAMIPASHO KUNA bwana mmoja juzi kanikumbusha kuendelea kupambana na maisha, sababu siku hizi nguo hazianikwi kwenye jua na kama basi...

Barbara Waweru ‘Mama Nyambu’ ni mwigizaji anayepania kutinga hadhi ya kimataifa

NA JOHN KIMWERE PENYE nia pana njia. Ndivyo wahenga walivyolonga na tangia zama zile ndivyo hali ilivyo hadi sasa. Ni msemo...

KIKOLEZO: Edi Gathegi yule msee!

NA SINDA MATIKO ITAKUWA sio sura geni kwako haswa ikiwa wewe mpenzi wa filamu. Amehusika kwenye filamu kibao kubwa kubwa kwenye kiwanda...

DOMO: Bibiye atapatapa kujipandisha dau!

NA MWANAMIPASHO SIJUI kama umegundua, Huddah Monroe Njoroge kaanza mitikasi ya kurudi kwenye anga za kuzungumziwa. Shangazi ameshagundua...

BURUDANI: Mwigizaji mahiri na mwalimu wa Kifaransa

NA JOHN KIMWERE ANAELEKEA kutinga miaka minne tangia aanze kujituma kwenye masuala ya filamu. Anaamua kujiunga na maigizo baada ya...

KIKOLEZO: Riri, huyo Kanairo

NA SINDA MATIKO UTAKUWA umeshaziskia taarifa kuwa Bad Gal Riri au ukipenda Rihanna ameamua kuingia kwenye soko la vipodozi nchini...

DOMO: Kwa sasa yuko freshi barida!

NA MWANAMIPASHO MWANZO kabisa hivi mumeyaskia mapya kutoka Purity Vishinewa a.k.a Pritty ambaye ni Ex wake Stivo Simple Boy? Baada ya...

KASHESHE: Wajigeuza mbogo!

NA SINDA MATIKO DIAMOND Platnumz na Zuchu wamejigeuza mbogo kufuatia maelekezo ya Halmashauri ya Mawasiliano Tanzania - TCRA - kuwataka...

KASHESHE: Sasa auza sigara

NA SINDA MATIKO WIKI moja tu baada ya kuzengua Kenya, mzee wa vishasha sasa ameamua kuja na jipya. Harmonize ametangaza mchakato wa...

KASHESHE: Hayawi hayawi huwa!

NA SINDA MATIKO RIHANNA au ukipenda Bad Gal Riri, ameamua kupanua utajiri wake kwa kuingiza bidhaa zake za vipodozi katika soka la...

KASHESHE: Lupita kuja nyumbani

NA SINDA MATIKO BAADA ya kuikosa pati ya Met Gala 2022, staa wa Hollywood Lupita Nyong'o, anatarajiwa kuzuru nyumbani wikendi...