TAIFA LEO Logo
  • Habari
    • Habari za Kitaifa
    • Habari za Kaunti
    • Kimataifa
  • Siasa
  • Maoni
  • Makala
    • Afya na Jamii
    • Lugha, Fasihi na Elimu
    • Akili Mali
    • Jamvi La Siasa
    • Shangazi Akujibu
    • Bambika
    • Pambo
    • Dimba
  • Dondoo
  • Bi Taifa
  • Mashairi
  • Michezo
  • NIE Shuleni
NiE Shuleni

Shule ya Upili ya Boror, Salgaa, Nakuru

February 12th, 2025
Wanafunzi wakimakinikia matukio na mawasilisho mbalimbali wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE) katika Shule ya Upili ya Boror iliyoko Salgaa, Kaunti ya Nakuru.
Afisa wa mauzo wa NMG, Bw Kennedy Mutinda (kushoto) akiongoza baadhi ya walimu wa Shule ya Upili ya Boror kusoma magazeti ya Taifa Leo. PICHA| CHRIS ADUNGO
Ilikuwa mbwembwe na hekaheka za kila sampuli miongoni mwa wanafunzi hawa wa Shule ya Upili ya Boror wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Boror, Salgaa, Kaunti ya Nakuru wakiwania fursa ya kujibu maswali ya chemshabongo wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Boror, Salgaa, Kaunti ya Nakuru wakisikiliza kwa makini mawasilisho mbalimbali wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Boror iliyoko Salgaa, Kaunti ya Nakuru, wakifurahia kupigwa picha wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE). PICHA| CHRIS ADUNGO
TAIFA LEO Logo

Mitandao ya kijamii

Maarufu sana

Trump asema Amerika imemkamata Rais Maduro wa Venezuela

January 3rd, 2026

Safari ngumu ya upinzani kuelekea 2027

January 4th, 2026

Uhuru alipodokeza alikataa kumeza chambo

January 4th, 2026

Usikose

KCSE 2025: Matokeo kuangaliwa kupitia tovuti ya KNEC sio SMS

January 9th, 2026

Kinaya mahakama sasa ikiomba NG-CDF pesa za kujenga korti

January 9th, 2026

Madaktari sasa watahadharisha wanaopanga kukumbatia mti wakikimbiza rekodi

January 9th, 2026
Copyright © 2026 Nation Media Group. All rights reserved.