Kioja demu kuangua kilio baada ya bosi wake kukataa kumbusu

Na JOHN MUSYOKI

KIAMBERE MJINI

DEMU mmoja mjini hapa, alishangaza wapangaji alipoanza kulia akimlaumu mdosi wake kwa kutombusu.

Kitendo hicho kiliwafanya wafanyakazi wenzake kubaini kwamba demu huyo alikuwa na uhusiano wa mapenzi na mdosi ambaye ana mke na watoto.

Yasemekana uhusiano huo ulikuwa umeanza kuingia baridi na demu akamwendea mdosi na kumtaka ambusu.

“Kwa siku nyingi umenipuuza, hata salamu hakuna. Umenipiga chenga kwa muda mrefu sana licha ya kuwa ninakupenda. Unaumiza moyo wangu sana na sasa ninataka busu,” demu alimwambia mdosi wake.

“Pole sana hata kama ninakupenda sitaki kuendelea kuzozana na mke wangu. Niwie radhi kwa sababu siwezi kukupa busu kwa sasa, endelea na kazi,” jamaa alisema.

Kulingana na mdokezi, buda alimpuuza demu na kutoka nje lakini demu alimfuata huku akipiga kelele na kulia.

“Demu alizidi kulia mpaka wenzake wakaenda kujua kilichokuwa kikijiri na kufahamu kuwa demu alikuwa analilia busu kutoka kwa mdosi wake,” alieleza mdokezi.

Hata hivyo, haikujulikana kilichojiri baada ya kioja hicho. Pia aikujulikana ikiwa mkewe bosi alipata habari kuhusu tukio hilo la kustaajabisha.

Habari zinazohusiana na hii

Comments

 • PETER

  02/20/2020

  HUYO BOSS AMEONA HERI MKE WAKR

 • phaustinus lubembe

  02/16/2020

  hongera kwa boss,hayo n baadhi tu ya majaribio ya dunia,na umeshashinda

 • Naomi

  01/22/2020

  Bosi ana tabia mbaya hatosheki

 • Anonymous

  01/14/2020

  Angempea busu tuu kwan iko jameni???

 • Charles said

  12/21/2019

  The boss is caring for his family

 • Godwins ekeya

  12/17/2019

  “Watu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa”mandiko hayo kutoka kwa bibilia

 • Anonymous

  08/11/2019

  SIO KITU POA KABISA

 • MR. ALINOGH

  06/13/2019

  Ndo mukome wanawak mukidanganyw2 munakubal chunga family bos

 • THADEUS

  02/28/2019

  AMA KWELI DUNIANI KUNA MENGI YASIYO MSING NASI KAMA VIUMBE TUJIHADHARI MAANA HUU NI MTI MKAVU

 • david

  02/15/2019

  dunia ni duara

 • Shem

  02/15/2019

  Klla mtu akae na wake hatutaki aibu

 • Anonymous

  02/15/2019

  Klla mtu akae na wake hatutaki aibu

 • Francis Jamoi Kisumu

  01/27/2019

  Mbos Tahadhari Kabla Ya Lugha Ya Kifaranxa Iyanze Kuwa Historia

 • Kinyua Ambrose

  01/09/2019

  thats not gud boss aache tabia mbaya

 • d ruba

  12/31/2018

  ruba ochore mini naona kwamba dem akotu poa

 • Papaz

  12/23/2018

  Thatz wrong! Thankz to boss anampenda mkewe

 • james

  12/21/2018

  tabia mwozo saana control hisia zko

 • kiptoochirchir

  12/20/2018

  huyo bosi alifanya vyema juu inaonekana anapenda familia yake na watoto wake

 • amos kiboh

  12/14/2018

  tabia mbaya ak we,boss

 • JOB OMACHE

  12/13/2018

  that is bad hyo boss angemaibisha kwa wengine

 • bony webutere

  12/13/2018

  busu tu, siangempa kuliko tujue

 • xantohz

  11/17/2018

  thats wrong! huyo boss alifanya poa

 • Edwin wanyonyi

  11/12/2018

  hio n tabia mbya demu kukuja kwako thn akuzimie,huyo bosi kitu angefanya angembusu tu kuliko huyo dem amuaibishe..

 • see here

  02/23/2018

  I am in fact thankful to the holder of this web site who has shared this impressive paragraph at here.

Leave a Reply