TAIFA LEO Logo
  • Habari
    • Habari za Kitaifa
    • Habari za Kaunti
    • Kimataifa
  • Siasa
  • Maoni
  • Makala
    • Afya na Jamii
    • Lugha, Fasihi na Elimu
    • Akili Mali
    • Jamvi La Siasa
    • Shangazi Akujibu
    • Bambika
    • Pambo
    • Dimba
  • Dondoo
  • Bi Taifa
  • Mashairi
  • Michezo
  • NIE Shuleni
NiE Shuleni

Ikuu Girls High School Chuka, Tharaka Nithi

October 23rd, 2025 Ilikuwa raha isiyo kifani miongoni mwa wanafunzi hawa wa Shule ya Upili ya Ikuu Girls Chuka baada ya kuhamasishwa kuhusu manufaa ya mradi wa Newspaper in Education (NiE) katika safari yao ya elimu.
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Ikuu Girls iliyoko Kaunti ya Tharaka Nithi wakifurahia kupigwa picha wakati wa hamasisho la mradi wa Newspapers in Education (NiE). PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Ikuu Girls wakichangamkia maswali ya chemshabongo wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Afisa wa mauzo wa Nation Media Group (NMG), Bw Nicholas Muli, akimtuza mwanafunzi shati-tao la Taifa Leo baada ya kujibu swali la chemshabongo ipasavyo wakati wa hamasisho la NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Upili ya Ikuu Girls, Bi Elizabeth Mugambi, akipekua safu mbalimbali gazetini. PICHA| CHRIS ADUNGO
Baadhi ya walimu wa Shule ya Upili ya Ikuu Girls wakisoma nakala zao za magazeti siku ya kuzinduliwa rasmi kwa mradi wa Newspapers in Education (NiE). PICHA| CHRIS ADUNGO
Baadhi ya wanafunzi waliotuzwa kofia na kalamu kwa kujibu maswali kwa usahihi wakati wa hamasisho la NiE wakifurahia kupigwa picha ya pamoja. PICHA| CHRIS ADUNGO
TAIFA LEO Logo

Mitandao ya kijamii

Maarufu sana

Trump asema Amerika imemkamata Rais Maduro wa Venezuela

January 3rd, 2026

Safari ngumu ya upinzani kuelekea 2027

January 4th, 2026

Uhuru alipodokeza alikataa kumeza chambo

January 4th, 2026

Usikose

KCSE 2025: Matokeo kuangaliwa kupitia tovuti ya KNEC sio SMS

January 9th, 2026

Kinaya mahakama sasa ikiomba NG-CDF pesa za kujenga korti

January 9th, 2026

Madaktari sasa watahadharisha wanaopanga kukumbatia mti wakikimbiza rekodi

January 9th, 2026
Copyright © 2026 Nation Media Group. All rights reserved.