Bishop Ndingi Secondary School, Molo
Wanafunzi waliojibu maswali ya chemshabongo ipasavyo wakati wa hamasisho la NiE katika Shule ya Upili ya Bishop Ndingi, Molo, wakifurahia mashati-tao ya Taifa Leo. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Bishop Ndingi, Molo, wakifuatilia hamasisho la mradi wa NiE kwa makini. PICHA| CHRIS ADUNGO
Mwalimu na wanafunzi wa Shule ya Upili ya Bishop Ndingi, Molo, wakifuatilia matukio mbalimbali kwa makini wakati wa hamasisho la mradi wa NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO
Wanafunzi wa Shule ya Upili ya Bishop Ndingi, Molo, wakijiandaa kutumbuiza wageni, walimu na wenzao kwa mchezo wa kuteleza kwa viatu vya magurudumu siku ya kuzinduliwa rasmi kwa mradi wa NiE. PICHA| CHRIS ADUNGO