Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Nimepata biashara ya kuzalia mtu, sitaki mume ajue

Na SHANGAZI October 27th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Shikamoo shangazi. Nimepata biashara ya ‘kuzaa’. Yaani unalipwa vizuri kubeba mimba na sitaki mume wangu ajue. Nifanyeje?

Jibu: Dada, kubeba mimba kwa sababu ya pesa si jambo la mchezo. Kama huna ujasiri kumwambia, basi hiyo biashara si ya heshima kwako wala kwa ndoa yako.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO