Shangazi Akujibu

SHANGAZI AKUJIBU: Nipe mbinu za kuongeza ladha chumbani

Na SHANGAZI November 6th, 2025 Kusoma ni dakika: 1

SWALI: Nilisoma ushauri wako hapa ukisema mapenzi hukosa ladha kama wahusika hawana ujuzi wa kuchochea hisia. Tafadhali nielezee jinsi ya kuchochea mambo chumbani ili kumridhisha mwenzangu.

Jibu: Njia za kuamsha hisia za kimapenzi ni nyingi. Unaweza kumsisimua mwenzako kutokana na jinsi unavyomtazama, kumzungumzia ama kumpapasa mwilini. Hizi ni baadhi tu za mbinu. Lakini kufaulu kwake hutegemea ubunifu wa mtu binafsi.

IMETAYARISHWA NA WINNIE ONYANDO